Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
Hii sio lodge ni nyumba kamili, Wana taka kuichukua ndo waigeuze iwe hivyo.Sawa, Kuna kiongozi mmoja alinambia ana Lodge mitaa ya huko ndiyo anataka kuiuza, sijui kama ndiyo hiyo ama ni nyingine
All in all hii biashara ni nzuri japo inahitaji kutega eneo zuri pamoja na kuzingatia sana Usafi
Nadhani nitajielekeza zaidi huko miaka ijayo