Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
01:12 I report and depart
😁😂Watu mnapumua tu hewa chafu sisi tunaua soli nukta to nukta mkiamka mnaanza kututukana mkiaka kila naekutana nae akizingua na mapanzi tu ya kutoa wenge
Unataka kusema ilikuwa umefungiwa jela ya kujitakia?Endelea kuni juza, niko jela mkuu🤒
We mzee tuliaa, vipi ile nyumba ya wageni tayari😄.Unataka kusema ilikuwa umefungiwa jela ya kujitakia?
Usikute Binti yangu aliona unakosa muda wa kuwa naye ndiyo amejaribu kuutumia mbinu hiyo kukutuliza 😜🏃🏃🏃
Acha kutufokea Wazee, hatuchelewi kupandisha PB 😜We mzee tuliaa, vipi ile nyumba ya wageni tayari😄.
👉Nina kijana ana weza kuwa administrator 🤒
Safii🤗🤗🤗, waiting for the lovely newsAcha kutufokea Wazee, hatuchelewi kupandisha PB 😜
Nashukuru nilifanikiwa, japo umechelewa alishapatikana "Meneja"...
Nikifanikiwa kupata nafasi nitaandika Uzi ili wenye nia waweze kujifunza
IPO moja maeneo ya style hiyi, na Pana fanya vizuri mnoo.Acha kutufokea Wazee, hatuchelewi kupandisha PB 😜
Nashukuru nilifanikiwa, japo umechelewa alishapatikana "Meneja"...
Nikifanikiwa kupata nafasi nitaandika Uzi ili wenye nia waweze kujifunza
Ilikuwa wapi hiyo ya 80M?IPO moja maeneo ya style hiyi, na Pana fanya vizuri mnoo.
👉Last time wame offer 80m kupa chukua, though bado offer nzuri.
Usijali Mkuu 🤗Safii🤗🤗🤗, waiting for the lovely news
Kahama, jirani Kuna nyingine Kama 3-4. Bei zao ni 15-20 mchana tu Wame jaza tayari.Ilikuwa wapi hiyo ya 80M?
Sawa, Kuna kiongozi mmoja alinambia ana Lodge mitaa ya huko ndiyo anataka kuiuza, sijui kama ndiyo hiyo ama ni nyingineKahama, jirani Kuna nyingine Kama 3-4. Bei zao ni 15-20 mchana tu Wame jaza tayari.
👉Last bid ilikuwa 80 naona wame refuse, nadhani 100m ndo Ina weza washitua wamiliki Grahams