Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
04:32 I mean no malice to nobody
😁😁 sema huu uzi mwaka ule ndo ulikuwa hot balaa. Watu tulijua kukesha haswaaa.Hivi wewe huu uzi sindio ulikuleta JF? Saivi unajidai kuwa mwana MMU sio?
🥲😭😭Hivi hiki Ni Nini.
Wiki ya pili hii Sina nyege kabisa, mke analala bila chupi lakini akili yangu hainipeleki huko. Niko macho tangu saa Saba, Sina usingizi Sina hamu ya tendo. Au ndio nimerogwa?
Sasa wengi hawako lindoni..😁😁 sema huu uzi mwaka ule ndo ulikuwa hot balaa. Watu tulijua kukesha haswaaa.