Haya lala sasanakmba mrembo yyte ani qoute au ani like hii coment nipate usingizi tafadhali🤣
Kafanyaje tenaaaa? 🤣🤣Nimeamka kuangalia majamvii daah kanji mbwaaa sanaaaa
Insomnia ? Nop ni aina fulani muda hufika wengine huitaji kutolala maana mchana labda walilala sana au muda mwingine ni vile mtu alipumzika sana mchana .Not sure what it is….or maybe I’m just out of touch!! [emoji1787]
Hivi huu uzi unahusu nini hasa?
Ni support group ya watu wenye insomnia, au?
Fair enough!Insomnia ? Nop ni aina fulani muda hufika wengine huitaji kutolala maana mchana labda walilala sana au muda mwingine ni vile mtu alipumzika sana mchana .
Ila wakati mwingine jua kuwa wengine tuko kwenye majukumu
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
waoooo😘 ndo maana jana nliota ndoto tamu sana asante sanaHaya lala sasa
Jamani usiseme hvo.Upigwe bao Tano uwe na nguvu za kuchati humu. Labda alikuwa anakojoa jamaa sio wewe
Mie nimetulia jamaniHahahahahaha, we shangazi bana hujatuliaga
HahahahaMie nimetulia jamani
It's a hangout for night owls.Fair enough!
Ila hata wenye insomnia nahisi watakuwepo tu.
Nevertheless, it’s all good. I was just wondering ‘cause I never understood the purpose [of the thread].