Joogoo linawika mapemaa hiv04:33
Joogoo linawika mapemaa hiv04:33
Usingizi umekata apa baada yaku request utumbo sasa umefakamia Henson choice mzinga umemshinda kakata moto katapika onbed ugumu wote umekata. 😆😆😆😆kwer usiku wa mananeNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Kwaiyo we ndio mkeshajiHakuna mkeshaji humu, nyote ni walalavi.
🤣🤣🤣 4:55kwa jinsi Mbu wanavyong'ata itabidi kumuomba boss aniongeze mshahara vinginevyo nitaacha hii kazi ya Ulinzi 🤗🤗
4:02
HiNimefika kuwapa hi tu. Narudi kwenye uzi wetu watu wa usiku