JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Haha Northzone unaisema? Mbona tu huo utaratibu ni mzuri? Wa kurudi kujumuika as a family. Ila wengine wangekuwa wanatukosa 😂
nasema christmas dunia nzima imekua commercialized, kununua nguo mpya, mazawadi, kutoka out.... hivyo vitu havina maana

hiyo ya kwenda kijijini sina shida nayo, ila nako wanalewa tu usiku kucha
 
Back
Top Bottom