Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,384
- 95,799
Mmmh huu ndio mwezi ambao watu wako kamshange mwezi mzima3:47 AM
December, the most boring monthš®
Mmmh huu ndio mwezi ambao watu wako kamshange mwezi mzima3:47 AM
December, the most boring monthš®
Na mwezi wa kupata ubuyu wa moto moto kutoka kwangu, jiandaeni kuburudika.Disemba mwezi wa bata huu mwanzo mwisho
Hahahahaha,uni tag niwe nasomaNa mwezi wa kupata ubuyu wa moto moto kutoka kwangu, jiandaeni kuburudika.
Asante Mwl .. Nakupenda mnooo.. Depal šššThank you kaka Chaz.. mwezi mpya ukawe wa baraka kwako na uwapendao.
God is good⦠imefika ule muda wa kuisikiliza āfrom January to December nimejua aliyenilindaaa ni weweā¦
Happy new month mkuu wangu Certified Hater
Happy new month dear Mtani...mwezi huu ukawe baraka kwako....
ššAsante na kwako pia mwezi wa nikuambie kitu, leo ikiwa ukimwi day, asante mkuu kwa salam hizi nimefurahi sana
Sipendi kuitwa my hujui tu, sipo town niko bushKaribu kigamboni my
Bush pande zipš¤£Sipendi kuitwa my hujui tu, sipo town niko bush
š¤£š¤£š¤£š¤£Ety mwezi wa nikuambie kitu daahššš®ššAsante na kwako pia mwezi wa nikuambie kitu, leo ikiwa ukimwi day, asante mkuu kwa salam hizi nimefurahi sana
Za Tanzania ššBush pande zipš¤£
Nataka nikwambie kituššš¤£š¤£š¤£š¤£Ety mwezi wa nikuambie kitu daahššš®
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Za Tanzania šš
Shida ni nini mahi wangu?Sipendi kuitwa my hujui tu, sipo town niko bush
Yani jamaa kanikata stimu kishenzi, niliosoma nao wakaishia msingi au sekondari tulikuwa tukikutana kwenye mitandao basi wanaweka hizo my nilikuwa napata hasira vibaya mnoShida ni nini mahi wangu?
š¤£š¤£š¤£š¤£Yani jamaa kanikata stimu kishenzi, niliosoma nao wakaishia msingi au sekondari tulikuwa tukikutana kwenye mitandao basi wanaweka hizo my nilikuwa napata hasira vibaya mno