KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,882
- 40,049
02:28
Unateseka ukiwa wapi kamandaMkuu hujalala?
KwetuUnateseka ukiwa wapi kamanda
Ndio wapi huko?Kwetu
DaslaaamNdio wapi huko?
Aah kumbe wewe Mwanaume wa daslam?😂Daslaaam
Ndiyo mkuuAah kumbe wewe Mwanaume wa daslam?😂
Njoo nikufundishe kurina asali bila kuvaa chochote cha kujikinga, sisi huku Kaliua hata nyuki akiuma hatujali😂😂Ndiyo mkuu
Huo ni mtego naujuaNjoo nikufundishe kurina asali bila kuvaa chochote cha kujikinga, sisi huku Kaliua hata nyuki akiuma hatujali😂😂
Mtego wa nini njoo tule asali wewe😂Huo ni mtego naujua
Asali situmii hata hivyoMtego wa nini njoo tule asali wewe😂
Wanaume wa dar hata asali unaogopa...hakuna nyuki kwa asali😂😂Asali situmii hata hivyo
Mmeanza mapema, Best Wishes!!!12:00 AM
kesho test
asante bata mzingaMmeanza mapema, Best Wishes!!!