Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,479
- 3,082
Hapo baada ya kufanikisha unalotaka, mshagombana mara kadhaa inafika wakat kila mtu anapita kimya kimya [emoji16]12:42 Na mkizoeana mna onana online hamuulizani Hali ..kila mtu ana fanya lililo mpeleka