Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,624
- 69,372
Nataka nikwambie kitu😂😂🤣🤣🤣🤣Ety mwezi wa nikuambie kitu daah💔💔🚮
Nataka nikwambie kitu😂😂🤣🤣🤣🤣Ety mwezi wa nikuambie kitu daah💔💔🚮
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Za Tanzania 😂😂
Shida ni nini mahi wangu?Sipendi kuitwa my hujui tu, sipo town niko bush
Yani jamaa kanikata stimu kishenzi, niliosoma nao wakaishia msingi au sekondari tulikuwa tukikutana kwenye mitandao basi wanaweka hizo my nilikuwa napata hasira vibaya mnoShida ni nini mahi wangu?
🤣🤣🤣🤣Yani jamaa kanikata stimu kishenzi, niliosoma nao wakaishia msingi au sekondari tulikuwa tukikutana kwenye mitandao basi wanaweka hizo my nilikuwa napata hasira vibaya mno
upo mrembo?01:17
Ile nataka kuweka simu pembeni, na notification yako hiyoo...upo mrembo?
Mbona bado mapema sanaIle nataka kuweka simu pembeni, na notification yako hiyoo...
Naona hivyo piaMbona bado mapema sana
Ni vyema na haki😂Naona hivyo pia
Acha nipumzishe zangu komweNi vyema na haki😂
Muache asomeNi vyema na haki😂