Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,952
- 168,820
Basi namsaidia tukutane uzichape na mimi 😁Jeuri hiyo hana!!
Si unaona kilivyo kioga mpk kimeniblock
Sasa live si ntamvunja vunja 🤣🤣🤣🤣
Emu sister nitafutie mwingine wa kupigana naye sio huyo mtoto wa mama