YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
No. Ila mi namjua sana ndo maana.Ushawahi kukutana nae?
No. Ila mi namjua sana ndo maana.Ushawahi kukutana nae?
Kwaheri mdogo wangu,upone bas✋Pumzika my wangu😋😋
🤣🤣🤣🤣No. Ila mi namjua sana ndo maana.
Atajinyonga ss hivi kwenye mapori ya kasumbalesa akisikia hivo 🤣🤣🤣Mimi ndio niliyesababisha apigwe ban kama hujui alikuwa ana fanya umbea mwingi mpaka ikawa shida ndio nikamreport na hiyo id yake nilishaijua kitambo sana mkuu.
Ni demu huyo shauri yako na ni mzuri kweli kweli
Unatembea na roho yangu wew😋Kwaheri mdogo wangu,upone bas✋
AsanteKwaheri mdogo wangu,upone bas✋
Hahaahhaha, kumbe eeh, basi nimepata majibuPesa azitoe wapi tandboi wa roli za mafuta huyo 🤣🤣🤣
Hapo kipo kasumbalesa kimepauka kina 20 kwacha mfukoni, bundle lenyewe anatumia MTN la ofa
Kijana anadhani we dume laiti angejua tu cha ukorofi ulivyo mrembo 😆😆😆 sijui ingekuwaje anadhani kila demu jf mbovu 🤣🤣Atajonyonga ss hivi kwenye mapori ya kasumbalesa akisikia hivo 🤣🤣🤣
Mwamba huyoKijana anadhani we dume laiti angejua tu cha ukorofi ulivyo mrembo 😆😆😆 sijui ingekuwaje anadhani kila demu jf mbovu 🤣🤣
🤣🤣🤣 Chale miyeyusho sanaHahaahhaha, kumbe eeh, basi nimepata majibu
Eva mambo! 😜😝Kitenge cha jero sio??? 🤣🤣🤣
Hahahaha,hizi makitu anazimiss siio?Pesa azitoe wapi tandboi wa roli za mafuta huyo 🤣🤣🤣
Hapo kipo kasumbalesa kimepauka kina 20 kwacha mfukoni, bundle lenyewe anatumia MTN la ofa
We haya. Baki na mtazamo wakoMwamba huyo
Kazoea kuona viwatu vya Kongo vifupi basi anajua wote wako km sister zake 🤣🤣🤣Kijana anadhani we dume laiti angejua tu cha ukorofi ulivyo mrembo 😆😆😆 sijui ingekuwaje anadhani kila demu jf mbovu 🤣🤣
Sawa ila siku mkipigwa msije kulia humuWe haya. Baki na mtazamo wako
Humu ,ndugu zangu huwa mnanifurahisha sana ,km huna maokoto ya uhakika kuwa mpolee🤣🤣🤣 Chale miyeyusho sana
HaahahahahaKazoea kuona viwatu vya Kongo vifupi basi anajua wote wako km sister zake 🤣🤣🤣
Papaa Nasemaje huyo mfukoni ana 20k hana jipya, tufanye harambee tumtumie pesa ya kula, lasivyo banyamulenge watamuoa 🤣🤣🤣🤣Hahahaha,hizi makitu anazimiss siio?