Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 867
- 1,226
Upo pia kwenye movie ya kingsman II ....yule chief alipo kanyaga bomu aliemba kabla hajafaUsiku huu nasikiliza wimbo wa john denver
unaitwa Take me home,Country road[emoji442]
Upo pia kwenye movie ya kingsman II ....yule chief alipo kanyaga bomu aliemba kabla hajafaUsiku huu nasikiliza wimbo wa john denver
unaitwa Take me home,Country road[emoji442]
kwa kila kitu kinachoonekana hapo auSet up kama hii wakuu inaweza kula tsh ngapi?View attachment 2797455
Nakubali kakaUpo pia kwenye movie ya kingsman II ....yule chief alipo kanyaga bomu aliemba kabla hajafa
Achana na chumba kama chumba nataka tu hivyo vitu alivyoweka hapo makadilio yake kwa mtazamo wenukwa kila kitu kinachoonekana hapo au
Umeanza usumbufuu💆Usiku huu nasikiliza wimbo wa john denver
unaitwa Take me home,Country road[emoji442]
[emoji23][emoji23][emoji23]Umeanza usumbufuu[emoji138]
DuuuhLaki nane
😂😂😂nimesumbua nini?[emoji23][emoji23][emoji23]
sikupiti wewe
kitanda hicho ni 5×6=250kDuuuh
mmmh we hatari[emoji23][emoji23][emoji23]nimesumbua nini?
😳vitu vyenyewe sasaa...labda tvAchana na chumba kama chumba nataka tu hivyo vitu alivyoweka hapo makadilio yake kwa mtazamo wenu
Nimekupata hapokitanda hicho ni 5×6=250k
godoro=150
tv &mziki 300
inayobak vingine
[emoji23][emoji23] ushaanza usumbufu[emoji15]vitu vyenyewe sasaa...labda tv
Kitanda hicho kule kichwani inaonekana chaga nati zimeachia🙉Set up kama hii wakuu inaweza kula tsh ngapi?View attachment 2797455
😂🙊au ni mwanafunzi?[emoji23][emoji23] ushaanza usumbufu
lakin kwa kuanzia life sio lazimu ununue vitu ambavyo havina ulazima[emoji3578]Nimekupata hapo
Nina wasiwasi na wewe utakuwa umevilegezaKitanda hicho kule kichwani inaonekana chaga nati zimeachia[emoji86]
😂😂😂wee,usinipe kesi....mie wapi na wapi na madenti...mama ako mieNina wasiwasi na wewe utakuwa umevilegeza
[emoji23][emoji23][emoji23] eti mama angu mie[emoji23][emoji23][emoji23]wee,usinipe kesi....mie wapi na wapi na madenti...mama ako mie