Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,385
- 95,807
Mkuu watapigwa wengine sio mimiSawa ila siku mkipigwa msije kulia humu
Mkuu watapigwa wengine sio mimiSawa ila siku mkipigwa msije kulia humu
Humu kaa kitaalamuMkuu watapigwa wengine sio mimi
Chale pesa hana mpk dereva auze mafuta kwenye roli ndio amfikirie kumpa hata buku 5, basi alivyo akili hana chap anakimbilia kununua bundle aje kupooza stress huku 🤣🤣🤣Humu ,ndugu zangu huwa mnanifurahisha sana ,km huna maokoto ya uhakika kuwa mpolee
Hahahaha. AnasikitishaKazoea kuona viwatu vya Kongo vifupi basi anajua wote wako km sister zake 🤣🤣🤣
Pouwahhhh za mchana 😁Eva mambo! 😜😝
Haya yaishe na ww sasa. Mpotezee huyoChale pesa hana mpk dereva auze mafuta kwenye roli ndio amfikirie kumpa hata buku 5, basi alivyo akili hana chap anakimbilia kununua bundle aje kupooza stress huku 🤣🤣🤣
Nilimkanda mpk ananifananisha na ankal Genta dadeq
Mwambie hata siioni content yake 🤣Hahahaha. Anasikitisha
🤣😅😅 Mchana tena upo guangzhou china nn?.Pouwahhhh za mchana 😁
Unakijua kichina nilete story ya kichina hapa🤣😅😅 Mchana tena upo guangzhou china nn?.
Napendaga uchanhiaji wako lkn uko vizuri sana za huko ulipo mbona hulali?
Nipo huku tambaautwikekapulanyege nchi za watu mie hapa nipo hadi jogoo awike🤣😅😅 Mchana tena upo guangzhou china nn?.
Napendaga uchanhiaji wako lkn uko vizuri sana za huko ulipo mbona hulali?
Sipendi kupigana mie kwanza hata content yake siioni hapaChale na lamomy mnapiga kelel tu hapa, ka vipi kutaneni basi mzichape 😁 nitakuwepo kushangilia
Ooh sawasawa unafanya nn huko sijazoea kukuona huku usiku wa manane 😐Nipo huku tambaautwikekapulanyege nchi za watu mie hapa nipo hadi jogoo awike
Kafia kawe01:55
Mwisho wa mchezo starring kafa
Hupendi kupigana kivipiii twende ukazichapeSipendi kupigana mie kwanza hata content yake siioni hapa
Jeuri hiyo hana!!Chale na lamomy mnapiga kelel tu hapa, ka vipi kutaneni basi mzichape 😁 nitakuwepo kushangilia
Hakuna kulala aaseee baki hapa hadi uruhusiwe 😁Muwe na usiku mwema nawapenda wote 😴😴😴😴