JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mimi ndio niliyesababisha apigwe ban kama hujui alikuwa ana fanya umbea mwingi mpaka ikawa shida ndio nikamreport na hiyo id yake nilishaijua kitambo sana mkuu.

Ni demu huyo shauri yako na ni mzuri kweli kweli
Ushawahi kukutana nae?
 
Back
Top Bottom