Rebuild
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 3,662
- 7,251
Basi nikuite sindelera😜 basi hapo chale anaumia ukiniita hivo, kinachungulia afu kinarudi ndani kujificha 😂😂😂
Basi nikuite sindelera😜 basi hapo chale anaumia ukiniita hivo, kinachungulia afu kinarudi ndani kujificha 😂😂😂
Una mtego jamani wakala usiku huu kweli 🤣🤣🤣 umedhamiria kuntia hamuuuuuKhaa ,kubwa au ndogo? Leta namba ya wakala aliye karibu na wewe upate hata kile kidogo cha kulalia
😂😂😂😂tulia wewee🙊Kwani unataka kumpa nini ,huyo mtoto, usije ukambemenda mtoto wa watu, wakati MANGULI tupo😂😂😂
🤣🤣🤣😳Dada yangu? Unataka uninyime nini kwani? Charles??
🤣🤣 Chale wanywa hennessy hawatumi vocha ya jero mbona 🤣🤣🤣🤣Kuna Hennessy hapa unatumia
Kunywa maji mkaliKivipi kaka
Natuliaje wkt wanitia presha😂😂😂😂tulia wewee🙊
Kaka umekomaa nae huyo mwambaBasi nikuite sindelera
Kwahiyo na wewe unakazia papaa? Dah! Hadi wewe?Kwamba huyo jamaa ni kweli wa kawe ?
Hahahaha,hii ni kweli🤣🤣 Chale wanywa hennessy hawatumi vocha ya jero mbona 🤣🤣🤣🤣
Kutuma pesa kutoka kinshasa hadi dar es salaam ni mbali sana🤣🤣🤣 Chale wanywa hennessy hawatumi vocha ya jero mbona 🤣🤣🤣🤣
No,si kazii ila sipendi mtu asingiziweKwahiyo na wewe unakazia papaa? Dah! Hadi wewe?
Ila unateseka wewe 😂😂😂Kaka umekomaa nae huyo mwamba
Acha uongo ktk hili ,unabugiKutuma pesa kutoka kinshasa hadi dar es salaam ni mbali sana🤣
Jiulize kwa nini alipigwa banned 😂Una ushahidi maana ninavyojua ni Cute Wife huyo id yake imepigwa ban ndo anatumia hiyo lamomy
Lioneee 🤣🤣🤣🤣🤣Kutuma pesa kutoka kinshasa hadi dar es salaam ni mbali sana🤣
🤣Acha uongo ktk hili ,unabugi
Kuna vitenge vya ki congo hapa vip nikuleteeLioneee 🤣🤣🤣🤣🤣