Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,908
- 82,180
Mwambie hata akijibijana na mimi mie nimetulia tu wala hata siioni content yake ndo ujue huyo ni popoma🤣🤣🤣🤣🤣🤣Usijibizane nae wampa kichwa
Mwambie hata akijibijana na mimi mie nimetulia tu wala hata siioni content yake ndo ujue huyo ni popoma🤣🤣🤣🤣🤣🤣Usijibizane nae wampa kichwa
Jero?????? Nyokyooooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kuna vocha ya jero kesho utapata
Buku ipoJero?????? Nyokyooooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Maneno mengi yamesemwa juu yangu,ivo kumsema MTU Mwingine vibaya tena kwa kudanganya na ukiwa na lengo la kumdhalilisha si njema love...mwambie huyo Charles kilian 😈😈😈No ,nimekuelewa vzr, nami nielewe contet yangu,usiwe na hasira kipenzi,niko strategic mno humu
We mdada huwa unatumia kinywaji gani?Jero?????? Nyokyooooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hey be a man, mwanaume kujibizana/chambana na mwanamke haipendezi achana hizo mamboMwambie hata akijibijana na mimi mie nimetulia tu wala hata siioni content yake ndo ujue huyo ni popoma🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dada yanguManeno mengi yamesemwa juu yangu,ivo kumsema MTU Mwingine vibaya tena kwa kudanganya na ukiwa na lengo la kumdhalilisha si njema love...mwambie huyo Charles kilian 😈😈😈
Konyagi 🤣🤣We mdada huwa unatumia kinywaji gani?
Tulia bas Kamanda...tuheshimuni kidogo wanawake bas...nasi tunaingia humu kupunguza stress kidogoMwambie hata akijibijana na mimi mie nimetulia tu wala hata siioni content yake ndo ujue huyo ni popoma🤣🤣🤣🤣🤣🤣
No,siko hapa kudhalilisha mtu na nikijua content ni ya kudhalilisha mtu huwa najiondoa haraka sana, kama kuna KOSA nimefanya nisameheweManeno mengi yamesemwa juu yangu,ivo kumsema MTU Mwingine vibaya tena kwa kudanganya na ukiwa na lengo la kumdhalilisha si njema love...mwambie huyo Charles kilian 😈😈😈
Wala mie hata sibishani nae ndo maana nikamuweka ignore list halafu huyo ni mwamba sio demuHey be a man, mwanaume kujibizana/chambana na mwanamke haipendezi achana hizo mambo
😳Dada yangu? Unataka uninyime nini kwani? Charles??Dada yangu
Hapo kitalala na stress umekishushua 🤣🤣🤣Trust me,wanawake humu twajuana...hizo sifa si zake...labda kama ameanza mambo ya pm leo
Khaa ,kubwa au ndogo? Leta namba ya wakala aliye karibu na wewe upate hata kile kidogo cha kulaliaKonyagi 🤣🤣
Hebu kwendraaaa huko na buku yako....🤣🤣🤣 Watumie wazazi wako watakuambia "ubarikiwe mwaanangu" mi ukintumia hiyo buku ntakuambia hivi umenichukuliaje 🤣🤣🤣Buku ipo
Dada yangu wew ni moja ya wadada nine kupenda sana hapa jf wew ni number 2 moja ni depalTulia bas Kamanda...tuheshimuni kidogo wanawake bas...nasi tunaingia humu kupunguza stress kidogo
Unaziona vizuri usizuge 🤣🤣🤣Mwambie hata akijibijana na mimi mie nimetulia tu wala hata siioni content yake ndo ujue huyo ni popoma🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani unataka kumpa nini ,huyo mtoto, usije ukambemenda mtoto wa watu, wakati MANGULI tupo😂😂😂😳Dada yangu? Unataka uninyime nini kwani? Charles??
No,nilikuwa nafikisha ujumbe kwa Charles kupitia wewe.... Yeye nimeona hanisikilizi...am so sorry kwa kukubebesha zigoNo,siko hapa kudhalilisha mtu na nikijua content ni ya kudhalilisha mtu huwa najiondoa haraka sana, kama kuna KOSA nimefanya nisamehewe
Kuna Hennessy hapa unatumiaHebu kwendraaaa huko na buku yako....🤣🤣🤣 Watumie wazazi wako watakuambia "ubarikiwe mwaanangu" mi ukintumia hiyo buku ntakuambia hivi umenichukuliaje 🤣🤣🤣