Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,386
- 95,820
Muulize anatumia skanka au bushKuna ndumu hapa vp unatumia ?
Muulize anatumia skanka au bushKuna ndumu hapa vp unatumia ?
Konyagi imefanya niangushe simu hapa yani kioo kimepata cracks kama ramani ya kontua 😭😭😭Tulewe kwanza ,mengine baadae
B a man...mi huwa sipendi maneno...kumuumiza MTU kimakusudi si haki.KwaheriniKwamba huyo jamaa ni kweli wa kawe ?
Sinorita🤣🤣🤣 Pesa nataka nimpe huyo alokwambia ana pm zangu
Siwezi toa pesa kwa tapeliUlimpa au hukumpa?
Pole sana, ungekua karibu ningekuripia kwa fundi,😂😂Konyagi imefanya niangushe simu hapa yani kioo kimepata cracks kama ramani ya kontua 😭😭😭
Usijibizane nae wampa kichwaKinaniogopa iko 🤣🤣🤣
Pm me nimtafute nini huyo?
Pm yenyewe nishaizira nimeipiga lock
Bangi siitaki tena, kila nikismoke kichwa kinaniuma....noooo thank uKuna ndumu hapa vp unatumia ?
Wewe nikuombe buku 10??🤣🤣🤣Alikujaga pm kuniomba eti buku 10 ya kula 🤣🤣
HahahahaSiwezi toa pesa kwa tapeli
Yani nimepanick najikaza tu 😭😭😭Pole sana, ungekua karibu ningekuripia kwa fundi,😂😂
Ok shisha unatumia?Bangi siitaki tena, kila nikismoke kichwa kinaniuma....noooo thank u
Chale Charles kilian ntumie mie hiyo helaWewe nikuombe buku 10??🤣🤣🤣
Wewe chale amka utajikojolea
Weka nikupe pesa za chai kesho 🤣🤣🤣Ni true dada yangu ila kuweka hapa naona ntamdhalilisha
No ,nimekuelewa vzr, nami nielewe contet yangu,usiwe na hasira kipenzi,niko strategic mno humuB a man...mi huwa sipendi maneno...kumuumiza MTU kimakusudi si haki.Kwaherini
Kivipi kakaAcha ulokole
Hapana hapana sitaki hata kujaribu, najiona am too old for itOk shisha unatumia?
Kuna vocha ya jero kesho utapataChale Charles kilian ntumie mie hiyo hela
Pombe gani unakunywa🤣🤣Hapana hapana sitaki hata kujaribu, najiona am too old for it
😜 basi hapo chale anaumia ukiniita hivo, kinachungulia afu kinarudi ndani kujificha 😂😂😂Sinorita