JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Wakuu nimeskia mtu kaniita mara mbili huko nje, sauti ya kike nmesita kuitika ila nimechungulia sioni mtu yeyote 😥 nimekemea kimoyo moyo hapa isijekuwa wanga.
 
Back
Top Bottom