mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,807
inaendaga vizuri sana na morning woodHahahaha!.
Hiyo nayo ina cha asubuhi?
inaendaga vizuri sana na morning woodHahahaha!.
Hiyo nayo ina cha asubuhi?
baki njia kuu.Anatoka kwake asubuhi sana anakuja anapigwa vya mkwezi ,anaenda job akiwa mwepesi zaidi
Hahahaha,mali yangu hiibaki njia kuu.
Nawe MkuuDuh!. Hakika mpo serious sana.
Kila la kheri Mkuu.
Tizi kitandaniTime ya kufanya mazoezi kidogo
Kilainishi njia
👀05:55🥂
Hapana tizi mtaaniTizi kitandani
Hayo mpk week end ,acha kwanza nicheze na mgeni muda huuHapana tizi mtaani
Kuruka kamba kidogo
Kata tumbo
Kichura chura n.k
nimenenepa hata push up 5 sitoboi tena😂Hapana tizi mtaani
Kuruka kamba kidogo
Kata tumbo
Kichura chura n.k