Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 6,048
- 8,818
SHukran sana mkuu. Nlimiss humu sanaKaribu lindoni
SHukran sana mkuu. Nlimiss humu sanaKaribu lindoni
Ahaaa dah leo leba kutakuwa kugumuHuyo leo hayupo
kunguni ndio nn mkuu?Ndugu zangu muwe mnazungumza na watu vizuri, Tanzania hakuna mgao wa umeme, ningewaambia niliko ila mtanisagia kunguni
Hujui maana ya " kusagiwa kunguni ( bedbug)"kunguni ndio nn mkuu?
ndo kitu ganHujui maana ya " kusagiwa kunguni ( bedbug)"
Hata kunguni mwenyewe hamjui huyo wakishuaHujui maana ya " kusagiwa kunguni ( bedbug)"
Ndo nashangaa,Hata kunguni mwenyewe hamjui huyo wakishua
Wakishua tutajulia wap izo vitu au ni k vantHata kunguni mwenyewe hamjui huyo wakishua
Wakishua tutajulia wap izo vitu au ni k vant
Search bedbug utaona, inshort ni wadudu wanaoka kitandani, wananuka vibaya na wanang'ata usiku UkilalaHata kunguni mwenyewe hamjui huyo wakishua
Piza ya kabej ndio inakuwaje au ni mbayaApan ni Piza ya kabeji[emoji847]
Piza ya kabej ndio inakuwaje au ni mbaya
Chaap kwa haraka unajitwalia mbibi wako 😂Naanza mazoezi yakuongea kama shehe, atatulia tu, Half_American akinipatia dawa, tayari wetu
wanga tutakufikia ulale saivi mda wetu huu wa kulogaJarib ku gugo
wanga tutakufikia ulale saivi mda wetu huu wa kuloga