Hakikisha lindo linakua salama03:04 nimepokea lindo
Sawa mkuu.Hakikisha lindo linakua salama
Lala mapema sa 2Usingizi umeenda wapi Jaman Embu uje maana Sasa huu ni ugonjwa kila siku mida ya saa tisa hadi kumi lazima usingizi ukate dah
Naombeni namna ya kuzuia hili jambo
😉 muda wa Morning Glory
Absolutely, nina ka homa hapa😉 muda wa Morning Glory
Pole sana ka homa kanini mamy?Absolutely, nina ka homa hapa
Mwili haupo sawa kabisaPole sana ka homa kanini mamy?
Pole mama uende ukapime upate matibabuMwili haupo sawa kabisa
NitajitahidiPole mama uende ukapime upate matibabu