hongera umejitahd0255
veep... Usijal kua na aman upo sehem salama queen...Nyie jamaniiiii[emoji851]
pole01:50 mkeka umechanika leo hakuna usingizi
Nililala, Leo jiandae nakuja kukesha
0014
Yamekusibu yapiiii?Unapambana unajibana, mwenzako asie na malengo hela anayopata anakula bia kidibwi anapata lishangazi lenye kitengo linampa mtaji anatoboa,
Nawewe unatamani una tafta lishangazi linakupa magonjwa.[emoji174]
Kuna mda maisha ni bahati, kaa kwenye njia yako achana na bahati za watu.[emoji404]