Hakikisha hukosi visheti chiefDah hashahahaa ngoja nianze kutembeza kahawa na mimi usiku
Ela utazikimbia😅
Hakikisha hukosi visheti chiefDah hashahahaa ngoja nianze kutembeza kahawa na mimi usiku
🤣🤣🤣Sijui alipotelea wapi?Bora huyo Kuna yule aliekua ana Dislike comment ya mtu mmoja mara mia...
Aya maisha kuna muda ukicheki unaona kama upo kwenye movie ya Kivietnam.🤣🤣Kuna posho Sasa
Hapa nasubiri rokoo ya saa 8 usiku kama mfungwa
This is Africa 🤣🤣🤣
Alipigwa ban ya maisha🤣🤣🤣Sijui alipotelea wapi?
Alichange ID🤣🤣🤣Sijui alipotelea wapi?
😳 Wee, sema kweli? Siyo wewe uliyeniambia una wake wanne na bado unaongeza...nikakimbia maana si wote twapenda hekaheka za uke wenzaAkikuacha tu imekula kwake
Mimi nakuposa chap
Atukua hana bahati
Ajaribu aone.....
🤣🤣🤣 Alikuwa na majibu yenye kiburi huyo balaa 🤭Alipigwa ban ya maisha
😳Then Kawa mpole🥴Alichange ID
Mpka baadhi ya member walimfungulia thread kuomba apigwe ban😆 mazima🤣🤣🤣 Alikuwa na majibu yenye kiburi huyo balaa 🤭
Ulikua ukifungua notifications unakuta rangi nyekundu tu.😳Then Kawa mpole🥴
🤣🤣🤣Alitisha sana🙌Mpka baadhi ya member walimfungulia thread kuomba apigwe ban😆 mazima
Pamoja ndugu yangu🙏💪, more love less ego.Samahani mkuu niishu ya tying nimekosea...
🤣🤣🤣Alituweza kweli aiseeUlikua ukifungua notifications unakuta rangi nyekundu tu.
Alikua anaitwa ye34be sijui na mwingine jina la halamu.Mpka baadhi ya member walimfungulia thread kuomba apigwe ban😆 mazima
Yeah,I remember that 🤣🤣🤣🙌Alikua anaitwa ye34be sijui na mwingine jina la halamu.
✌️ Oh!! yeah love ndio amri kuu.Pamoja ndugu yangu🙏💪, more love less ego.
I mean no malice to nobody✌️ Oh!! yeah love ndio amri kuu.