JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Wana wake ni jau Sana[emoji23][emoji16][emoji16][emoji1787], sijui ka nitaweza wavumilia[emoji16][emoji1787][emoji1787]
Utaweza, kwanza utavumila halafu baadae utaozea mpaka utaenjoy. Drama zetu utaenjoy sana ila tuu kama UNAMPENDA huyo mhusika lasivyo utaona anakuboa......0700 Kumekucha its a new day tukachakarike iwe siku ya baraka tele
 
Ikitokea ikawa hivyo, naomba kheri Iwe nami🤗.
👉Though siji oni huko kwa Sasa, maana Kuna ka moja ka kitanga🤗
 
Kuna hizi za JBourne59, mwandishi mzuri na nguli.
[emoji117] Mahusiano yangu na hamida
[emoji117]Hatimaye niko huru
[emoji117]How I met my wife, nayo nzuri Sana[emoji120] trudie
Ngoja niitafute hiyo Hatimaye nipo huru zingine nimeshazisoma, asante sana kaka[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom