NipoEm njoo kwanza tusemezaneš
Nipo
Mchumba
Nimeshawasiri
Tusemezanee
NipoEm njoo kwanza tusemezaneš
Unajua mchumba anakuwa ashaposwa....aliyeniposa akiona hii it's yako utasalimika kweli? šNipo
Nipo
Mchumba
Nimeshawasiri
Tusemezanee
Naweza sana tuuMarahaba dogo,vp utaweza?
Ni mdogo sana kwangu mkuu...mi ni menopause ujueAcha kusalimia wadogo zako šš
š¤£š¤£MtajeKuna mwamba mmoja ana like kila post anayokutana nayo
Wee, usiniambie š„“Naweza sana tuu
Kwani wao waweze wana nini??
Mimi ni mdogo sana bossAcha kusalimia wadogo zako šš
ššššWee, usiniambie š„“
š¤£š¤£š¤£ššššš
Bora huyo Kuna yule aliekua ana Dislike comment ya mtu mmoja mara mia...Kuna mwamba mmoja ana like kila post anayokutana nayo
Hakufahamu vizuri huyuNi mdogo sana kwangu mkuu...mi ni menopause ujue
Dah hashahahaa ngoja nianze kutembeza kahawa na mimi usikuMuda wa kusaka noti
Hakuna kulala
Akikuacha tu imekula kwakeUnajua mchumba anakuwa ashaposwa....aliyeniposa akiona hii it's yako utasalimika kweli? š
niko hapa nasubiri mshangazi wangu unakuja kunichukuaDah hashahahaa ngoja nianze kutembeza kahawa na mimi usiku
š¤£š¤£Kuna posho SasaBasi posho ya Mwenge share..ššš
Kwa kweli,hajui kuwa nilipofikia ...kojoa mpaka damu lakini kitu hakitiki ng'oooš¤Hakufahamu vizuri huyu
Aniulize nimsimulie kidogo