Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 33,670
- 97,415
Ironbutterfly huu hapaa... kama walinzi wa zamu
Anhaa niko kwenye mkesha wa mwenge ndugu yanguIronbutterfly huu hapaa... kama walinzi wa zamu
Tengeneza connection, 2025 hakikisha una tengeza Maokoto.Anhaa niko kwenye mkesha wa mwenge ndugu yangu
Nimepiga msare huo kushinda mkuu wa wilaya husika🤣🤣
Hapana Mimi si mwanasihasaTengeneza connection, 2025 hakikisha una tengeza Maokoto.
Mkuu nipe kaziAnhaa niko kwenye mkesha wa mwenge ndugu yangu
Nimepiga msare huo kushinda mkuu wa wilaya husika[emoji1787][emoji1787]
😳Amkeni
Amkeni
Amkeni
Amkeniiiiiiii
No malice to girls......00:09 Sera zetu 👉 Panga mkononi
👉Roho begani
🤔Amkeni
Amkeni
Amkeni
Amkeniiiiiiii
🤒Amkeni
Amkeni
Amkeni
Amkeniiiiiiii
Basi posho ya Mwenge share..😁😁😁Hapana Mimi si mwanasihasa
Mimi ni mtaalamu
Natimiza protocol tu🤣
Dah we jau Sana😂😁😁, shem haja maindi 😂😁😁
Mwambie asome na Ile stori ya KHUMBU
Muda wa kusaka notiMjep uwa unaamka saa 6 sijui
Shikamoo To yeye
Em njoo kwanza tusemezane😋Amkeni
Amkeni
Amkeni
Amkeniiiiiiii