Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,970
- 35,342
Hahahaha, tunakurudisha camp upangiwe kazi nyinginenakubali
Hamna bwana. Naombeni second chanceHahahaha, tunakurudisha camp upangiwe kazi nyingine



Hahahahahaha,: Taarifa kwa Mkuu wa Lindo ,imefikaHamna bwana. Naombeni second chance![]()
...kwa hali hii kwel siwezi... Ngoja leo nisije na vinywaji... Huenda itasaidia...We kazi huwezi
...Kampuni imeibiwa... Walinzi mtajibu...Ndio naamka, nililala![]()
Kumbe huwa unalewa lindoni eeh...kwa hali hii kwel siwezi... Ngoja leo nisije na vinywaji... Huenda itasaidia...
Wote mlilala...Kampuni imeibiwa... Walinzi mtajibu...
Ni Special kwa tunaolala alone..me mwenyewe sijajua... Nafkiri ni kutambulika kama mwananzengo aliekamilika... Maturity member... Any way Legends mtusaidie mshamba_hachekwi Dr Restart Half american To yeye tupeni tofaut sisi wageni wenyeji
mara moja moja sio mbayaKumbe huwa unalewa lindoni eeh
Tuna uhuru sana yaan...Ni Special kwa tunaolala alone
Usitusemee kwa boss... Nyumban wanatutegemea...Wote mlilala
Kwa mimi boss ashanielewa 😂...Kampuni imeibiwa... Walinzi mtajibu...
hahaha! kinasaidia sana..Kilainishi njia
😅😅😅😅 pote mie nipoMbn kama nsona mtaa wangu
...umempa nin boss na alivo mkorofi...Kwa mimi boss ashanielewa
...yeah yeah! Leo natoa taarifa mapema... Naumwa kichwa kwakwel...12:00 AM
ni usiku mwingine tena,
kunywa maji mengi, kisha lala...yeah yeah! Leo natoa taarifa mapema... Naumwa kichwa kwakwel...
100920230022
...haya asante mkuu... Ubarikiwe...kunywa maji mengi, kisha lala