[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]My sister, huja pata tu[emoji847][emoji850]
Si ya kucheka walaiii Tulikua tumeshakua kama ndugu vilee dahhh nawamiss hadi nachizika wapendwa muwe na wakati mwema Ndugu zanguu😘😘😘😘😘!Toka jana nimewakumbuka mko uzi gani nije tumekuwa kama watoto yatima🤨
Dah 😃😂, SI utapita mwezi 😃[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]View attachment 2742568
Kuna mjinga mmoja hapa amefanya amepigwa ban, but she's okay
Mambo mazuri hayataki haraka, kuwa mvumilivu. Si unajua waarabu hawatakagi papara????Dah [emoji2][emoji23], SI utapita mwezi [emoji2]
AiseeKuna mjinga mmoja hapa amefanya amepigwa ban, but she's okay
Sawa sisy angu🤗Mambo mazuri hayataki haraka, kuwa mvumilivu. Si unajua waarabu hawatakagi papara????
dah shida ya ndoa, ndo Hiyo😃Niko mzungu wa nne leo, naona nyama ila siwezi igusa
[emoji28][emoji23][emoji23]Niko mzungu wa nne leo, naona nyama ila siwezi igusa
Mbn kama nsona mtaa wanguView attachment 2741781
mshamba_hachekwi ... chukua ramani hiyo 😅😅😅😅... Intelligent businessman akija nitaenda mtembeza