Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 7,262
- 21,466
Nilishatoa siku nyingi, ila sielewi kwanini sikuiz kawa pilipili. Kufilisika kidogo tu ndo imekuwa chanzo.lete mahari nyumbani tukuachie mchuchu huyo
Nilishatoa siku nyingi, ila sielewi kwanini sikuiz kawa pilipili. Kufilisika kidogo tu ndo imekuwa chanzo.lete mahari nyumbani tukuachie mchuchu huyo
hujatoa, hajawahi kukutambulishaNilishatoa siku nyingi, ila sielewi kwanini sikuiz kawa pilipili. Kufilisika kidogo tu ndo imekuwa chanzo.
Mbona hata dada zake wanajua. Hata mtaji wa duka lake pale kinondoni ni mimi nlitoa.hujatoa, hajawahi kukutambulisha
kaka mtu sina taarifa, 10M fastaMbona hata dada zake wanajua. Hata mtaji wa duka lake pale kinondoni ni mimi nlitoa.
😂kaka mtu sina taarifa, 10M fasta
hapo nimekuonea huruma, tumemsomesha kwa gharama
We kazi huwezi...Ayayayaaa... Hii kazi ya ulinzi imenishind sasa... Kwanza mbona hamniamshi wakati mim ni mgeni kazini... Ona sasa nilizima sjui saa 6 tu...
We kazi hii ya ulinzi imekushindaNdio naamka, nililala [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakubaliWe kazi hii ya ulinzi imekushinda
Hahahaha, tunakurudisha camp upangiwe kazi nyingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakubali
Hamna bwana. Naombeni second chance [emoji75][emoji75][emoji75]Hahahaha, tunakurudisha camp upangiwe kazi nyingine
Hahahahahaha,: Taarifa kwa Mkuu wa Lindo ,imefikaHamna bwana. Naombeni second chance [emoji75][emoji75][emoji75]
...kwa hali hii kwel siwezi... Ngoja leo nisije na vinywaji... Huenda itasaidia...We kazi huwezi