JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Dah we jau Sana[emoji23][emoji16][emoji16], shem haja maindi [emoji23][emoji16][emoji16]
Hapana kaka hawezi mind, kuna muda mtu unahitaji space yako uenjoy mwenyewe mimi napenda sana kusoma soma stories, tena kipindi hiki cha lactation akinimind sikawii kulia maana hormone bado hazijabalance [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wana wake ni jau Sana😂😁😁🤣, sijui ka nitaweza wavumilia😁🤣🤣
 
Hapana kaka hawezi mind, kuna muda mtu unahitaji space yako uenjoy mwenyewe mimi napenda sana kusoma soma stories, tena kipindi hiki cha lactation akinimind sikawii kulia maana hormone bado hazijabalance [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuhusu space nakubaliana nawe, mi mwenyewe napenda niwe alone.
👉Sipendi usumbufu🤣😁🤗
 
Back
Top Bottom