trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 4,453
- 10,818
Nakutafutia, ila chonde kaka usije na wewe ukampa afusalasini nitakufungulia uzi hukuSafi best, ko uta nitafutia ehh![]()




Nakutafutia, ila chonde kaka usije na wewe ukampa afusalasini nitakufungulia uzi hukuSafi best, ko uta nitafutia ehh![]()




Niliona umekula ban best, basi ikabidi niwe msomaji kimya kimya nisllije ungana na nyie nikose umbea. Yaani kila kona bro anamwaga madini



Hivi ni nani aliyeweka limguu kubwa selfika, unajua picha hazifunguki zote mpaka nitumie web na siipendi....maana nimecheka kweli umemkomalia mwenye limguu lake![]()



warembo wa JF wa mtengo sate kwachaOhhh mmeanza Tena🤣😂😂😂, SI kill mtu ana fedha zake🤣😂😂🤒Nakutafutia, ila chonde kaka usije na wewe ukampa afusalasini nitakufungulia uzi huku![]()
30 k ndo mshahara nalipwa, kwa kuchunga mbuzi 🤒🤒.Mbona nipo kule 🤣🤣🤣🤣
Jana wanga walikua wanagonga cheers eti tumepewa ban, yani tunawatetea wasipewe 30k kumbe hawapendi wenyewe wameridhika na pesa za vocha
HahahahahaSiwezi,labda niwe mfu🤭