JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Screenshot_20230906-224729.png
 
Wakifunga na huku sijui tutakeshea wapi jamani [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]...Leo kumetokea nn hadi wamefunga mmesutana tena????
Kule Kuna unafki mwingi sana, ni bora tu walivyofunga.

Watu wanasifiana sana hadharani, alafu huko sirini wanapondwa hatari.

Kule kuna wanaume wenzetu wametusaliti wamevunja kanuni, ni wambea hatari
 
Back
Top Bottom