Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Angalau😍😍, mi nikichoka nafumba macho. Vitajua vyenyewe🤣😂Usingizi
Angalau😍😍, mi nikichoka nafumba macho. Vitajua vyenyewe🤣😂Usingizi
Zile dawa uli tumia??Hili tatizo ni la muda mrefu sana tangu nikiwa grade three, kuna wakati yanauma na kuacha kwa muda mchache.
Ndio Mr.Zile dawa uli tumia??
Basi toa huo Mwanga mweuoe kwenye simu, weka eye Care, Kisha upunguzee kabisaNdio Mr.
Nimepunguza kabisaBasi toa huo Mwanga mweuoe kwenye simu, weka eye Care, Kisha upunguzee kabisa
Seti na eye Care, au haina??Nimepunguza kabisa
NimewekaSeti na eye Care, au haina??
pikipiki itaburst😂01:43 eti Wana taka laki 3 kumsafirisha, SI Bora nimbebe mwenyewe 🤣😂 Mzee wa kupambania, National Anthem, Dahan, Ms eyes, Aaliyyah na mshamba_hachekwi View attachment 2695736
Tumia dawa ya macho Ina itwa xsone, ni kwa ajili ya macho tu.Nimeweka
una mechi na mama j nini??😂 mbona unakeshaMapopo mpo[emoji4]
Ngoja ni screenshot. AsanteTumia dawa ya macho Ina itwa xsone, ni kwa ajili ya macho tu.
👉Itasaidia, Ni 2500 tu
Mass × weight??😂🤣🤣pikipiki itaburst😂
[emoji2]acha tukeshe tuMapopo mpo[emoji4]
Mzee wa arsenal, ume muona rice😂🤣Mapopo mpo[emoji4]
Mi angalau Kichwa hakiumi, halafu punguza kupaniki na kuwaza Sana🙏Ngoja ni screenshot. Asante
Ulijuaje?😂Mi angalau Kichwa hakiumi, halafu punguza kupaniki na kuwaza Sana🙏