Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,434
Aisee janga la taifa ndo hili😂😂😄😁😄Nikiuliwa ndgu zenu atawatibu nani mwsho wa siku wagonjwa watakuja mpka uko mlipokuepo
Aisee janga la taifa ndo hili😂😂😄😁😄Nikiuliwa ndgu zenu atawatibu nani mwsho wa siku wagonjwa watakuja mpka uko mlipokuepo
😄😄😄😁Aisee janga la taifa ndo hili😂😂
HahahaMidi tudo😂😂😂
Kaka mnipe mchongo🙏🙏Hahaha
Nasubiri night shift nikamkaange binti wa mama yake
Duty station ni Dar au mkoani?Kaka mnipe mchongo🙏🙏
Popote Kaka. Mi napambania ugali🙏🙏 MsaniiDuty station ni Dar au mkoani?
Huwezi kuwa mtu makiniDah nipo sebule nimeshaangalia movie kama 8 tangu saa mbili usiku
Kivip.kuchek movies auHuwezi kuwa mtu makini
[emoji4]poleAaah nimetulia na simu yangu nazurura JF
Ila NATUMA CV hovyo.tu na sioni chochote
Wadau nipeni kazi
Degree inayeyukia kichwani sasa
Dah namuwaza demu wangu wa utotoni mpaka usingizi umekata na nikilala namuotaniko hapa nasubiri usingizi unichukue
Ukupeleke wapi mkuu?niko hapa nasubiri usingizi unichukue
Maisha ndivyo yalivyo mkuu😂😂😂Hii dunia we acha tu.
Unaweza kua na mke Tena pisi la nguvu lakini ukaingia chumbani na nyege zako na kuamka nazo na kuondoka nazo kwenda kwenye mihangaiko yako, huku majirani wakikuonea wivu kwamba unafaidi