JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Natafuta nyumba ndogo.
Awe anaishi Kimara, mbezi, Kibamba Hadi Kiluvya.
Awe muajiriwa serikalini, umri 45 and above.
Ajue relationship itakua nyumba ndogo/sponsor tu.
Umesahau kuainisha mkuu

Picha yako yenye kivuli Cha blue 1
Mawasiliano namba ya simu barua pepe
Location ulipo
Vipi shemu wetu from the small house awe mwembamba au bonge ?
 
Hio ni nyimbo ya kupafanya nyumbani pasionekane mbali [emoji38] ukiimba hio ushapiga vyupa kadhaa nyumbani unapaona ni km kuvuka barabara tu hapo umefika hata pawe na umbali vipi unajua utafika tu [emoji2]
Hahahaa kama kuna chochoro kwenu hapo lazima ubebe jiwe mkuu siraha jiwe unarusha kwanza gizani mengine mfukoni
 
Back
Top Bottom