Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Kinyakyusa cha Nanjilinji![]()
tukisema ni kikwele cha Chato,itapendeza zaidKinyakyusa cha Nanjilinji![]()
tukisema ni kikwele cha Chato,itapendeza zaidAaaah! Kumbe ndo maana mnafanana sana,mmechangia mototo wa kambo![]()
![]()
![]()
Hapana huyu ni shangazi yake na bibi yake ambaye alimzaa Mjomba wake na Mama yake aliyemzaa Remy.

![]()
![]()
![]()
Naona unakimbia kivuli chako hapa.....Wifi yangu mlokole hajambo?
![]()
![]()
![]()

Yule anayesema mzae ili mjaze dunia...![]()
![]()
![]()
Yupi tena huyo, nimeamini we mchana huoni vizuri![]()
![]()

Ilete basi iyo simu yako niende nayo nikaichaji, ujue na kesho umeme hakunaYule anayesema mzae ili mjaze dunia...![]()
![]()
![]()

Rudi ufunge get mimi nalala zangu....
Sasa.......Ilete basi iyo simu yako niende nayo nikaichaji, ujue na kesho umeme hakuna![]()
![]()

We baki kidogo umsubiri mwenye funguo, naona kimeo changu ndo kina shati downRudi ufunge get mimi nalala zangu....

Naomba nifunge leo mangi au muda bado?We baki kidogo umsubiri mwenye funguo, naona kimeo changu ndo kina shati down![]()
![]()
Salama komredi, naona mapema umefungua getiWaungwana swalama humu..!!!
Nimepita kuchungulia kama geti lipo waziKua makini akiingia Kichwa Kichafu @MangaML au Neybright nishtue




Humu ndani mmenishinda tabia inabidi niachane na suala la kushtaki watu maana naona nitazidi kupoteza memba hapa...
Inna na dingimtoto wameenda tRNA kuchaji simu zao![]()
![]()
![]()
Wewe na mshiki wako nimewaona mkiitana nanyi mkachaji zenu![]()
![]()
![]()
Neybright na Kichwa Kichafu wametekana![]()
![]()
![]()
Manta ML na Maserati wanaogopa baridi![]()
![]()
![]()
No Escape na alibakari wamesusia zamu niliyowapangia![]()
![]()
![]()
Basis bwana Mimi huku ndani sitasema nanyi tena nafunga mdomo wangu rudini![]()
![]()
![]()




Naam leo niamua kutoa bikra mapema kabla haijatolewaSalama komredi, naona mapema umefungua geti