JamiiForums Usiku wa manane
Pole kwa safari mamy, nasikia Leo mmelala Chalinze wewe na nduguyo...
Ama kweli vyuma vimekaza vibaya mwaka huu.....
Hivi kwani lazima kuhesabiwa kila mwaka?
Hahaha naona mashtaka yashahamishwa, tafadhali malizana na Inna na Dingi alafu mashtaka yetu ulete kesho
 
Hahaha naona mashtaka yashahamishwa, tafadhali malizana na Inna na Dingi alafu mashtaka yetu ulete kesho
Humu ndani mmenishinda tabia inabidi niachane na suala la kushtaki watu maana naona nitazidi kupoteza memba hapa...

Inna na dingimtoto wameenda tRNA kuchaji simu zao

Wewe na mshiki wako nimewaona mkiitana nanyi mkachaji zenu

Neybright na Kichwa Kichafu wametekana

Manta ML na Maserati wanaogopa baridi

No Escape na alibakari wamesusia zamu niliyowapangia

Basis bwana Mimi huku ndani sitasema nanyi tena nafunga mdomo wangu rudini
 
Ohooo! yaleyale ya jana.....this time itabidi mshitaki ndo nikimbie na sio washtakiwa maana naona mashtaka yananizidi kimo sasa
Kwakweli leo nina mzuka sana wa kukesha sema ndo ivo wenye umeme wao wanazingua, kesho ngoja nikakatengeneze kainveta kangu angalau Solar iniassist
 
Humu ndani mmenishinda tabia inabidi niachane na suala la kushtaki watu maana naona nitazidi kupoteza memba hapa...

Inna na dingimtoto wameenda tRNA kuchaji simu zao

Wewe na mshiki wako nimewaona mkiitana nanyi mkachaji zenu

Neybright na Kichwa Kichafu wametekana

Manta ML na Maserati wanaogopa baridi

No Escape na alibakari wamesusia zamu niliyowapangia

Basis bwana Mimi huku ndani sitasema nanyi tena nafunga mdomo wangu rudini

Sisi haturuhusiwi kuambatana usiku ujue
Hiyo kwetu ni laana
Huyu mshiki wangu dirty head kuna mazoezi magumu atakua anampa sio kwa uchovu huo wa kila day
 
Back
Top Bottom