JamiiForums Usiku wa manane
Jamani naomba niwakimbie , kesho tena Mungu akipenda.
Salamu zangu ziwafikie kina Thad, jje's, Manga, kichwa kichafu, spide na wengine wote. Usiku mwema nyote.
Asante mpenzi! Mungu akufanyie wepesi upate kuungana nasi tena maana tumekumiss mno!

Nleterewa Nganengo ana siku 3 hajala kisa amekuham
 
Back
Top Bottom