JamiiForums Usiku wa manane
Leo yamenikuta yaani nimejikuta tu naeaza kwenda sinza maana usingizi umekata afu mawazo ya kingonongono yamenitawala. Ngoja nipambane na hili pepo shindwa shetani niache nilale.
Weee hekima sifuria, mwenzako kipisi imepigwa banio. Naona iko njiani inafuatilia. Hiyo maneno ya kule chumbani we inaletea batoto jomoni.
 
Back
Top Bottom