Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,583
Wana akili mnooooDuuuh mbna wana akili hivo
Wana akili mnooooDuuuh mbna wana akili hivo
Panya huyu huyu hata wako ambaye yupo kwako ..Panya yule wa mabomu au panya wangu?
😂😂😂😂Duh kwaio panya ana analgesics?Kidonda ni tobo na uvimbe maana lazima akutoboe na meno na kwenye kujisiginisha anakukamata na kucha lazima utoboke na kuna ka hewa ka kukupooza anakupulizia km nusu kaputi ili usisikize maumivu uendelee kulala
Wana akili.. na vipi wenyewe pia wana njia ya kuwasiliana mkuuWana akili mnoooo
Sana tena sana panya ukimuekea Sukari na unga wa Dona au ngano ukichanganya utakuta amelamba wote haachi hata punjeMkuu ushawahi kutega panya kwa sukari
Mnaongelea misosi ya watu asee MTWARAMkuu ushawahi kutega panya kwa sukari
Hawa panya wa sua wale wanaofunzwa kwenda vitan😂😂Kidonda ni tobo na uvimbe maana lazima akutoboe na meno na kwenye kujisiginisha anakukamata na kucha lazima utoboke na kuna ka hewa ka kukupooza anakupulizia km nusu kaputi ili usisikize maumivu uendelee kulala
Itakua Ila panya ana akili ya kipekee😂😂😂😂Duh kwaio panya ana analgesics?
Dahan kwahiyo umeona utumie maneno magumu ili muongee kitaalamu zaidi sio😂😂😂😂Duh kwaio panya ana analgesics?
Sio hao nazungumzia panya hawa Hawa wa majumbani wanaotoboa kabati na kula nguo zako zote mpya ulizozinunua kwa ajili ya sikukuuHawa panya wa sua wale wanaofunzwa kwenda vitan😂😂
Sasa panya si kuna educated na wale ambao uneducated mkuu 🤓🤓🤓Hawa panya wa sua wale wanaofunzwa kwenda vitan😂😂
Panya wanduanzi sana kipindi apeche alolo zile kamba za chandalua ndio njia zaoPanya huyu huyu hata wako ambaye yupo kwako ..
Panya wa kula nguo🤓🤓🤓
Sasa kwan utalala jikon? Had ukutane nae usiku..?Panya halali na wewe panya anaingia popote anaenda popote penye chakula au penye harufu ya chakula,
Ah siwez kuwa na urafiki na panya.. Nawaogopa vibaya mnoo😢Sasa panya si kuna educated na wale ambao uneducated mkuu 🤓🤓🤓
Ahahhahaha jomba nchumaliMnaongelea misosi ya watu asee MTWARA
Panya anatembea akikosea akaingia kwako akakosa pa kutokea na hakuna chakula chumbani kwako kuna mawili aidha atakula damu yako ukiwa umelala au ataharibu vitu vyako ukiwa umelala, km huna vitu chumbani Basi wewe jiandae kua chakula Cha panya maana lazima akunyonye damu ili aushi bila hivyo atakufa bila kula atakufa kwa njaaSasa kwan utalala jikon? Had ukutane nae usiku..?
Hayaa Dahan twende element basiAh siwez kuwa na urafiki na panya.. Nawaogopa vibaya mnoo😢
🤓🤓🤓🤓🙌🙌 Ni vurugu tuu hamna kitu pale.. uwoni nilivotulia nilovoona jamaa yupo serious anashusha mambo ahahahHeeh we si ndo umetuambia mlio wa mjusi unaitwa aje sijui😂😂
Acha kututisha mkuu... Usiku huu.. Ila uzuri mi niko lindo😂😂😂 akitokea ivo ataninyonya saa ngapi? SilaliiPanya anatembea akikosea akaingia kwako akakosa pa kutokea na hakuna chakula chumbani kwako kuna mawili aidha atakula damu yako ukiwa umelala au ataharibu vitu vyako ukiwa umelala, km huna vitu chumbani Basi wewe jiandae kua chakula Cha panya maana lazima akunyonye damu ili aushi bila hivyo atakufa bila kula atakufa kwa njaa