JamiiForums Usiku wa manane
Anakunywaje? Panya si ana ramba ramba tuu.. 😂😂😂Emagn panya angekua anakunywa damu kama mbu ingekuaje😂😂
Anakunywa Tena ndio anaitaka zaidi ya chakula chochote hio ni kwa mujibu wa research,

02:48
 
02:56

Usije ukamuona mdudu panya ukamchukulia poa tena omba Mungu awe mmoja wakiwa kikosi ukilala wakikufyonza damu wanakuuua
 
Zamani walikua wanatafuna miguuni siku hizi wanatoboa ngozi usoni shingoni mgongoni wanataka damu,
Kwahiyo umekuja kututisha mkuu🤓🤓🤓🤓🤓..
Uliwaza nini kuja kutupa habari za panya na tunaishi nao "" wanatoboa shingoni "" mkuu mbona unatishia amani au unawapa promo hao viumbe🤓🤓🤓
 
Back
Top Bottom