JamiiForums Usiku wa manane
Kwahiyo umekuja kututisha mkuu🤓🤓🤓🤓🤓..
Uliwaza nini kuja kutupa habari za panya na tunaishi nao "" wanatoboa shingoni "" mkuu mbona unatishia amani au unawapa promo hao viumbe🤓🤓🤓
We elewa hivyo tu panya sio poa meno 2 juu na 2 chini Ila zinatoboa vibaya sana na Wana kucha za miguu zinachoma
 
Kinachotokea wanakuvizia ukiwa kwenye deep sleep, hivi unajua panya wana akili sana au haujui ?

03:00
Hapo kwenye akili hapo daah wale jamaa wana akili aisee.. yaan hata kama ukiwatega basi kuwa makini mnoo
 
Kwaio wanaeza kuacha kidonda deep?
Kidonda ni tobo na uvimbe maana lazima akutoboe na meno na kwenye kujisiginisha anakukamata na kucha lazima utoboke na kuna ka hewa ka kukupooza anakupulizia km nusu kaputi ili usisikize maumivu uendelee kulala
 
Sijui panya wamemfanya nini 🤓🤓🤓🙌🙌🙌
 
Kidonda ni tobo na uvimbe maana lazima akutoboe na meno na kwenye kujisiginisha anakukamata na kucha lazima utoboke na kuna ka hewa ka kukupooza anakupulizia km nusu kaputi ili usisikize maumivu uendelee kulala
Duuuh mbna wana akili hivo
 
Back
Top Bottom