JamiiForums Usiku wa manane
Inabidi atupe shule vizuri stow away..
Nimekupa darasa kidogo kuhusu huyo panya unaambiwa panya hakuna sehemu anashindwa kupita maana meno yake yale yale madogo dogo Ila yana uwezo wa kupasua ukuta uliojengwa kwa ZEGE, usibishe

03:44
 
Kwani ye lazima akule..
Yaani yee ana tumbo la njaa kila mda🤓🤓
Panya ana uwezo wa kustahilimili njaa masaa 15 mpaka 18 Ila akitoka huko aliko akakuta chakula atakula kwa fujo na Pupa ndio maana wakiwekewa sumu hufa haraka sababu ya pupa ya njaa, panya hupenda chakula Cha zamani na hula kingi Ila kukiwa na chakula kipya hula kidogo kwa kujihami kua huu ni mtego wa sumu Ila kisipo mdhuru hula chote, panya hunusa harufu ya kitu kitamu km Sukari au Chocolate
 
Nyoka akiwa mbele yako sio tatizo Ila nyoka akiwa nyuma yako kushoto kwako au kulia kwako ni tatizo

03:51
 
Back
Top Bottom