Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,138
🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓 Nimecheka sana aiseee... Wanavopita hawana habari anPanya wanduanzi sana kipindi apeche alolo zile kamba za chandalua ndio njia zao
Daah asee nilikuwa nawacheck tu
🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓 Nimecheka sana aiseee... Wanavopita hawana habari anPanya wanduanzi sana kipindi apeche alolo zile kamba za chandalua ndio njia zao
Daah asee nilikuwa nawacheck tu
Yaan anatuuliza mambo ambayo ako na majibu nayo😂😂😂 aone tuu jinsi tusivo na akili🤓🤓🤓🤓🙌🙌 Ni vurugu tuu hamna kitu pale.. uwoni nilivotulia nilovoona jamaa yupo serious anashusha mambo ahahah
Kwani ye lazima akule..Panya anatembea akikosea akaingia kwako akakosa pa kutokea na hakuna chakula chumbani kwako kuna mawili aidha atakula damu yako ukiwa umelala au ataharibu vitu vyako ukiwa umelala, km huna vitu chumbani Basi wewe jiandae kua chakula Cha panya maana lazima akunyonye damu ili aushi bila hivyo atakufa bila kula atakufa
Wanakimbizana alafu fasta unawaona kwenye kenchi walikuwa wanakata sana🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓 Nimecheka sana aiseee... Wanavopita hawana habari an
Si unajua tena anatufanyia brain Strom an anatupa fact kidogo...Yaan anatuuliza mambo ambayo ako na majibu nayo😂😂😂 aone tuu jinsi tusivo na akili
Yaani wana amua tuu kukualibia stim ahahaha panya sheenziii sana wale jamaaa.. mda mwingine zile virugu daahWanakimbizana alafu fasta unawaona kwenye kenchi walikuwa wanakata sana
Wanakutim muda umezima taa
Wakiona unataka kupata usingizi wanaanza style yao ya kukimbizana huku wanalia swi swi swiYaani wana amua tuu kukualibia stim ahahaha panya sheenziii sana wale jamaaa.. mda mwingine zile virugu daah
Ahahahahah daah maisha haya tunapitia mengi aisee ndo ecosystems hiyo.. na wenyewe pale wanainjoo sana anWakiona unataka kupata usingizi wanaanza style yao ya kukimbizana huku wanalia swi swi swi
Daah Kum...ke panya asee
Ahahahah alianguka bahati mbaya...Inabidi atupe shule vizuri stow away..
Chura ni amphibians pia anakula wadudu na matunda.. aaah usilolojua kuhusu chura ni kuwa ana miguu mirefu ya nyuma kuliko ya mbele..Vipi kuhusu chura? 😂 😂 stow away Poor Brain
Mafuta ya chura acha kabisaChura ni amphibians pia anakula wadudu na matunda.. aaah usilolojua kuhusu chura ni kuwa ana miguu mirefu ya nyuma kuliko ya mbele..
Chula pia anaruka ruka.
Pia chura huwa anatumika kama signal kwa waimba singeli ndo mana inasikia wakisema "" nioneshe chura.. chura analuka luka chura""
Yaani kafanya usafi, kaoga na kutandikaMafuta ya chura acha kabisa
Hili neno kwa sisi masela tunasema ni siku mbayaYaani kafanya usafi, kaoga na kutandika
"" Sitoweza kuja "" 🤓🤓🤓
Chura hana shida tushampasua sana baada ya kukumwagia chroloformVipi kuhusu chura? 😂 😂 stow away Poor Brain