Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,581
Weweee kua makini wapo wajusi wanang'ata wana muonekano km kenge na wana speed ya kukimbiaapa
apana, ila huwa anaonekan kama anaweza kung,ata
02:40
Weweee kua makini wapo wajusi wanang'ata wana muonekano km kenge na wana speed ya kukimbiaapa
apana, ila huwa anaonekan kama anaweza kung,ata
Hapana panya hanywi...Weeee kua makini panya anakunywa damu ya binadamu km mbu
02:39
Anafanyaaga keekeekee.. 😂😂Ndio anatoa mlio..
Mlio wa mjusi unaitwa twiqeen..
Hadi mjusi hana meno mkuuKenge sio mjusi?
Yes yupo mchusi ana meno na anang'ataMijusi ya huku kwetu inayo meno mbona😂😂
Hakuna kitu ka hichoWeweee kua makini wapo wajusi wanang'ata wana muonekano km kenge na wana speed ya kukimbia
02:40
Ndioo huo Sasa nilikua nauliza MimiAnafanyaaga keekeekee.. 😂😂
Ahahahahahah wee jichanganye tuu 🤓🤓🤓🤓Anafanyaaga keekeekee.. 😂😂
Emu waelezee wajusi vizuri unavyowajuaHakuna kitu ka hicho
Anang'ata na ndio anafanya hivyo keekeekee meno nje njeAhahahahahah wee jichanganye tuu 🤓🤓🤓🤓
Huo yupii😂😂😂Ndioo huo Sasa nilikua nauliza Mimi
Panya anakunywa damu ya binadamu usibisheHapana panya hanywi...
Namjua panya kwa miaka 3
Mjusi ni aina ya mjusi ambaye kiuhalisia anaonekana ana meno kumbe ni meno ya uwongoEmu waelezee wajusi vizuri unavyowajua
02:42
😂😂😂Mijusi mikubwaAnang'ata na ndio anafanya hivyo keekeekee meno nje nje
Hakuna kitu ka hicho nakataa miaka 100 mkuu...Panya anakunywa damu ya binadamu usibishe
02:44
Anakunywaje? Panya si ana ramba ramba tuu.. 😂😂😂Emagn panya angekua anakunywa damu kama mbu ingekuaje😂😂Panya anakunywa damu ya binadamu usibishe
02:44
Soma 5 Reasons Rats Are Way Scarier Than You ThinkHakuna kitu ka hicho nakataa miaka 100 mkuu...