Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,133
Leo nipo na vibe hapa.. an kulala ni ngumu mnoHaya kalaleee😂
Leo nipo na vibe hapa.. an kulala ni ngumu mnoHaya kalaleee😂
Ukakamavu wa roho began umepotelea pwetee😂😂😂Dah angalau ye anakaza, mi ndo navunga Kama SI mjui😆😂. I mean no malice to nobody
Leo nipo na vibe hapa.. an kulala ni ngumu mno
Nimeshinda kama nani...? 🤓🤓🤓🤓I see umeshida tuzo za TMA😂😂
Tuzo za usiku wa manane labda😂😂😂Nimeshinda kama nani...? 🤓🤓🤓🤓
Ngoja nisubiri na mi nipate shavu la kwenda kutoa tuzo
Alafu TMA imeonesha jinsi gani inakubali mchango wetu team Usiku wa manane that why hizi tuzo mpka sasa bado zinaendelea..Tuzo za usiku wa manane labda😂😂😂
Haaah😂😂😂😂Alafu TMA imeonesha jinsi gani inakubali mchango wetu team Usiku wa manane that why hizi tuzo mpka sasa bado zinaendelea..
Niitie Intelligent businessmanHaaah😂😂😂😂
Na umwambie kuwa kauli zake za kutishia amani mi sitaki...😂😂😂 Intel ukuje huku kipenz
Izo ndo sera zetu 😂😂😂 roho beganNa umwambie kuwa kauli zake za kutishia amani mi sitaki...
Mara panga mkononi daah 🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Sera za ajabu hizo... Kwanini mseme roho begani...??Izo ndo sera zetu 😂😂😂 roho began
Ushawai kutana na vibaka??? Ukikwapuliwa,, roho yako... inakua wp😂😂😂Sera za ajabu hizo... Kwanini mseme roho begani...??
Muulize muasisi Intel na kaka zake Mzee wa kupambania na National Anthem 😂😂😂Sera za ajabu hizo... Kwanini mseme roho begani...??
Ahahahahahahah kama ndo mnamanisha hivo kweli nyie mna hatariiiUshawai kutana na vibaka??? Ukikwapuliwa,, roho yako... inakua wp😂😂😂
Daah National Anthem yupo hivi daah.. mda mnooo
Karibuuhodi hapa