Kila la kheri mkuu.. tumekuachia kila kitu kipo, sio asubuhi tuje tukute watu wameibiwa
02:30
Ahsante mkuu ilaa😂😂😂😂 National Anthem Mzee wa kupambania amekuja mwenzenu😂😂😂Wa kula daku na wakale sasa
04:15
😅😅😅 mzee wa finishingAhsante mkuu ilaa😂😂😂😂 National Anthem Mzee wa kupambania amekuja mwenzenu😂😂😂
😅😅😅 kuna watu wamepigwa matukio mkuuMkuu sina matumaini ya kupata Usingizi kwa leo Lindo litakuwa salama hakika 😁
Mkuu vipi ushafika pande za ziwani..!!?
Wee pia ni mtoro.🙌🙌🤝am 4 real , Poor Brain leo vipi😔
Nilikua macho SEMA usiku wa Jana muda MWINGI nilitumia kusali....am 4 real , Poor Brain leo vipi😔
23:2123:02
Nilale au?
Sikuiz wote watoroVp chama lako the blues wachepigwa!!