Sawa mkuuBado 2
Johnnie Walker atakua kasinzia 🤣🤣🤣😂😂am 4 real mstue na Johnnie Walker muelekee upande wa generator kuna sauti km za watu wananyatia hivi hebu kachunguzeni kwanza. Mi namalizia daku mara moja
Itakuwa ni muda wa nchi ya Tonga, ndiyo kwanza saa 03:063:30
Anasinziaje muda wa kazi huyu, 😰😡😡
Mbona ni 3:45?4;00