Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,356
- 37,172
3;12
Uko nchi gani mzee uko dk 30 mbele ya muda mzee3.56 in advance....
Nili wai nafasi maana nilikua macho sikutaka kufanya masiala......😊😊Uko nchi gani mzee uko dk 30 mbele ya muda mzee
Niko hapa jamani mie😀😀
Wewe ndo kiongozi😂😂😂
😅😅😅 nasubiri dakuu nilaleWewe ndo kiongozi😂😂😂
Oooh! Kimbe upo wengine wako wapiiiNiko hapa jamani mie😀😀
I mean no malice to nobody, Sera zetu 👉 Panga mkononi
Kanali G Mida yake badoo
haya masaa mengine huwa anakuwa wapi sijuiIkifika around saa 04:03 hivi atakuwa hapaa😂😂😂
Mnajuana😂😂😂.. Na mwenzio yule wa around 05:30 to 06:58😀😀😀haya masaa mengine huwa anakuwa wapi sijui